🇰🇪 Built for Kenyan Grade 7-12 Students
Usiotea Tena.
Chagua Pathway Sahihi
Grade 9 ndio njia panda. Tumia AI kuchambua uwezo wa mwanao na kupata mwelekeo sahihi kati ya STEM, Arts, au Social Sciences kulingana na mtaala wa CBE.
3 Free AI Analyses
Cancel Anytime
Powered by Google Gemini AI
Kwa Nini EduNexus?
Tumetengeneza mfumo unaoelewa mtaala wa Kenya na changamoto za wazazi wa CBC.
AI Analysis
Inachambua competency levels 1-4 na kupendekeza careers.
Trend Tracking
Ona kama mwanafunzi anaimarika au anashuka kimasomo.
Pathway Score
Pata uhakika wa 100% wa mchepuo unaomfaa mtoto.
Secure Data
Taarifa za mwanao ziko salama na ni siri yako.
Gharama Nafuu Kwa Kila Mzazi
Most Popular
Family Plan
KES 500/mwezi
- Up to 3 Students
- Unlimited Performance Tracking
- 30 AI Career Analyses
- PDF Progress Reports